Alhamisi, 7 Julai 2016

choklet cake with condesed milk


Choklet cake
Ni choklet keki ya kawaida,then unachora mistar ya peaces unamwagia condensed milk





barfi

BARFI



Recipe yake ni hii apa chini..FUNGUA PICHA UONE MAELEZO VIZURI 

pizza

PIZZA
Pizzah yng ya leo simple and 😋

Recipes zip posst zilizopita

Kabla ya kuchomwa inakua iv

Na baada ya kuchomwa inakua hvi


Recipe zake ni ile pizza kwa njia urahisi ila kwa kukumbushia ni hii apa

zebra cake


ZEBRA CAKE

Maandalizi:
Saga vtu vyako na uchanganye kama keki ya kawaida,
Then ugawanye mchanganyiko wako mara mbili,moja weka cocoa moja ucieke kitu,
Then wek mweupe chin juu cocoa chin mweupe juu cocoa hadi hmalize
Itakua km iv
Kisha apo ju chkua kijiti uchore mstar kutoka pemben kuja kati.
Then choma kwnye oven 

Tayar kuliwa yummy iyoo 





Jumanne, 5 Julai 2016

Fagi



Nimejaribu fagi...

Recipe zip post zilizopita

Nimefanya ivi
Maziwa ya sona kikop kimoja,
Samli vijiko v2 vdg
Sukar vjiko 2 na nus vdg
Nimechanga pamoja vyote na nikateleka jikoni....nimekoroga bila ya kuachia mkono hadbikashkana mfano wa ugali then nikaisomga kidg nikamimina kwnye sahaani ambayo nilishapaka mafta.

Nimekata leaces bla kusubr ipowe.
😋

Jumatatu, 4 Julai 2016

Tende ya kusonga

Tende ya kusonga
Chambua tende kokwa,kisha ichanganye km unaipomda iwe lain
Then chkua dish ueke samli km vjko 2 tu lulingana na kiasi cha tende yako,
Samli ipashe moto iyayuke then weka ile tende ikianza pata moto ichanganye na samli utaona inashikana isonge vzur kw dkk kadhaa epua acha ipoe kidg

Fanya vdonge viduara kw ile tende then km una ufuta ugaragizishie vle vduara
Tayr kw kuliwa 👌

Bahati mbaya mm leo ckua na ufuta hvo skutia ufuta 😢 😢 😢

Makombo alawi

Makombo alawi
Upemba upembani 😁

Changanya unga na b.p kidg,samli kidg,na uponde kwa tui zito had uwe laini

Then skuma kma chapat iwe nyembamba chku glass kata madura lile duar lifanye shep km kikala cha nywele kisha ulipinde...au fanya shape za ckio km utaweza

Then choma kw mafuta
Ukitoa kwnye mafuta weka kwnye icing shmugar iliochanganyw ana hiliki

Icing sugar(sukar na hilik zsage pamoja)
Tamu iyo

Jumapili, 3 Julai 2016

Simple pizza 🍕

Simple pizza 🍕

Mahitaji
Nyama
Tomato sosi
Nyanya (tungule)
Carrot & hoho(pilipli boga)
Nyama ya kusaga
Slice bread 🍞
Mozarella cheese
Spices(uzile,tangawiz,thoum,chumvi)

Maandaliz
Weka spices kwnye nyama nabuipike iive

Kisha,Chkua slice ya mkate upake tomato sosi,then weka nyama then tungule 🍅,karoti na hoho na mwisho mwagia cheese
Kisha choma kw oven kias cha dkk kadhaa
Tamu iyoo
😋

Jumamosi, 2 Julai 2016

Vtumbua vyaa tambi

Maelezo yamo kwenye picha

Fagi

Maelekezo yamo kwenye picha

Mkate wa chui


Mkate wa chui
Maelekezo:
Kanda unga kama wa banz za chumv za kawaida,kisha gawanya unga mara 2,moja weka cocoa ya pli usiweke

Then fanya madonge,wacha uumuke..
Bada ya apo chukua ule wa cocoa tngeneza rolls na kila roll moja juu ifungie ja unga mweupe,kisha zpange kwnye trey ya bread slice 🍞 then choma...
Picha inaonesha maelekezo:

Ijumaa, 1 Julai 2016

Spring rolls


SPRING ROLLS
Kati unaweza kuweka kitoweo,cheese au ata viazi mabtata kulingana na mwenyewe unavopenda.....
Izo caki zinauzwa utazipata supermarket
Mm niliweka chipsi na cheese..
Unaweka ncha ya kaki moja na unakunja kwa mwendo huo kisha mwisho unaibana na unachoma kwa mafuta ya moto jikoni

Picha ina jieleza 
Yummy iyo 😋

Andazi za tuna

Unakanda kama unga wa scons za kawaida, ma unaunga tuna kama ya kitoweo cha kawaida

Then unga unakata na kuroll km hiv

Ukishachoma inakuanhvi
Kisha unatoa kkibat na unaweka tuna kam hv
Km huna izo za kuchomea kuwa mbunifu tengeza kwa karatasi km nilivofanya mimi