Simple pizza 🍕
Mahitaji
Nyama
Tomato sosi
Nyanya (tungule)
Carrot & hoho(pilipli boga)
Nyama ya kusaga
Slice bread 🍞
Mozarella cheese
Spices(uzile,tangawiz,thoum,chumvi)
Maandaliz
Weka spices kwnye nyama nabuipike iive
Kisha,Chkua slice ya mkate upake tomato sosi,then weka nyama then tungule 🍅,karoti na hoho na mwisho mwagia cheese
Kisha choma kw oven kias cha dkk kadhaa
Tamu iyoo
😋
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni