SPRING ROLLS
Kati unaweza kuweka kitoweo,cheese au ata viazi mabtata kulingana na mwenyewe unavopenda.....Izo caki zinauzwa utazipata supermarket
Mm niliweka chipsi na cheese..
Unaweka ncha ya kaki moja na unakunja kwa mwendo huo kisha mwisho unaibana na unachoma kwa mafuta ya moto jikoni
Picha ina jieleza
Yummy iyo 😋
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni