Jumatatu, 4 Julai 2016

Tende ya kusonga

Tende ya kusonga
Chambua tende kokwa,kisha ichanganye km unaipomda iwe lain
Then chkua dish ueke samli km vjko 2 tu lulingana na kiasi cha tende yako,
Samli ipashe moto iyayuke then weka ile tende ikianza pata moto ichanganye na samli utaona inashikana isonge vzur kw dkk kadhaa epua acha ipoe kidg

Fanya vdonge viduara kw ile tende then km una ufuta ugaragizishie vle vduara
Tayr kw kuliwa 👌

Bahati mbaya mm leo ckua na ufuta hvo skutia ufuta 😢 😢 😢

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni