Alhamisi, 30 Juni 2016
Mkate wa kuku
Cooked by my mom
Namna ya kupika
Unaanda kila kitu kma vtumbua vya kuku(soma recipe za vtumbua kwnye blog hii)
Wakat wa kuchima tu hii unachoma kw kubake kwnye oven while(vtumbua unachoma kw pan)
Matayarisho,mahitaji ni kma upishi wa vtumbua vya kuku
π
Tambi dessert
Simple and yummy
Maelekezo
Kaanga tambi zako za packert(tanbi za vileja) kwa samli ya aseel had ziive ziwe brown,alaf weka maziwa ya sona yachanganyike vzur pika kwa dkk 5 kisha weka arki ya vanila.
Epua
Chkua trey ya round au yyte upendelayo lkn iwe ya udongo km iy yakwng,then chini weka loz,njugu amabazo ni mapande mapande,korosho kisha mwagia maizwa ya maji kidg tu then juu weka ile tambi uliyoipika na samli na maziwa
Alaf weka kwnye frij kw muda km rob saa
Tayar kw kuliwa kwa kutumia kijiko
Yummy π
Jumatano, 29 Juni 2016
Date biscuit snacks
Biscuit za chumv za square(znauzwa madukan)
Tende
Samli
Ufuta
Maandalizi
Kwanza songa tende kam kawaida,
Unaitoa kokwa,then unateleka dishi jikon likipata moto unaweka tende na tende ikipata moto unaweka vijiko km 2 na nus vya samli kisha ikianza kuchanganyika na tende fanya kuichanganya kam unasoga mpja inasongeka mwisho inakua imeshikana yote epua acha ipoe
...wakat unasbr ipoe..
Kata biscut kati iwe pieces 2(Km hili litakushinda bc tumia nzma nzma)
Then ile tende unaweka kat ya peace moja na nyngne unabana na pemben unaweka tende unaieka vzur kisha unagafagiza kwnye ufuta uliokangwa vzuri alaf unapanga kwnye sahani
(ufuta unaakaangwa kw dishi kav km vle kipurepure mpka udate ta ta ta ndio umejaangika uo)
Inapendeza kw bwanaπ
Shawarmah ya kinyumbani
Home made shawarma
Jinsi ya kuandaa
Kwanza kabsa unasafsha nyama ya kuku,unaikata peace ndog ndogo sana unaiweka spices (uzile,thoum,tanagwizi chumvi)
Then unaichoma kw oven hadi iwive ikauke iwe kavu
(wakat unapoichoma usiweke maji mana yenyewe inatoa maji espessialy kuku wa perdue)
Then ikiwa tayr weka pemben na uandae paratha ya shawarmah
Paratha(chapati)
Unakanda unga kw kuchanganya na b.p nusu kijiko,mafta kdog na maji na chumvi
Then unaikanda had inakua lain,fanya madonge iache kw muda,bada yabmuda sukuma kama chapati ila iwe nyembamba isiwe nene kama chapati.
Baada ya apo unaichoma km chapati za kawaida ila uchomaji wa paratha hautui mafuta ata kidoto,unaichoma km ilivo utaona inakua brown unaitoa kwnye pan
Then,ile paratha unaweka na nyama yako,na salad alaf juu unamwagia mayonise unaifunga vzr km inavooneshwa kwnye picha
Piza ya kubuni
Kumbuka hii piza tumeibuni tu,
Cooked by my mother....daku ya jana
Jinsi ya kupika
Kaanga chips za mbatata kama kawaida,
Na uandae nyama ya kuku ya kusaga ipike iwive
Kisha chukua trey (vizur ukatumia kam hio ya kwang)
Then chini wekabnyama yako ya kuku
Juu umwagie mozarella cheese
Then upange na chips mbatat zako
Alaf juu ya chips katia tungule(nyanya)kitunguu maji na hoho na keroti kama unavyo cio lazma (mm sikuweka)
Kisha umwagie tena cheese kidg na mayonise kw wingi na chumv na plipli manga
π tamu iyooo
Jumanne, 28 Juni 2016
Donut π©
Changanya mchanganyiko km wa keki ila mayai wmyawe 2 au 3 tu kulingana na vipimo vyako...alaf unachoma kwa kutymia pan yake donut pan
Simple....
Kumbuka
Kuweka custerd na vanilla
Ukihitaji rangi ya choklet weka cocoa na nutella
π
Mkate wa haba soda
Unga vkombe 2
Hamira
Mafuta vjko 2
Bp na chumvi kiasi
ο
Tende ya kufturia
Tende ya kifturia
Ni vzuri tukawa wajuzi wa kuandaa vyakula ili ata mtu ambaye hakipendi kile chakula basi akipemde na ale
Sasa basi tende ya kufturia tunaweza kuisonga,
Ila tende ya kufturu ni vzr ikawa pure bila kusongwa hvo sasa,
Mm natumia ujuzi huu
Nadonoda tende yang kokwa,
Kati kati naweka lozi
Alaf nakaanga ufuta na na zile ende nazigaragiza kwnye ufuta
Zinakua na muonekano km kwnye picha
Ni tamu yani atabasiependa tende atakula
π
Ijumaa, 24 Juni 2016
Jumanne, 21 Juni 2016
Urojo wa kinyumban
Homemade mix
UROJO WA KINYUMBANI
Leo nitatumia urojo kwa ajili ya daku
Katika urojo hakuma kitu kigumu
Ni kufaham kupika kachori,
Kuandaa mishkaki,
Badia
Pamoja na chips za muhogo
Viaz na maji ya urojo yenyewe
Jana tulipika bajia za dengu na chatine,leo tukapika mishkaki na sasa tupike maji ya urojo
Jins yankuandaa
teleka maji jikoni,pemben koroga uji kwa kutumia unga wa ngano na maji ya kawaida na chumvi pamoja na bizari
Maji ya kichemka weka uji wa urojo na ukoroge utaona imeshkana na kuwa nzito
Ongeza maji ya kutosha kias cha urojo unayotaka,yakianza kuchemka saaa weka kiungwa km ni embe,ukwaju,ndim au limao
Ueke na chembe mbili za thoum kuondoa haruf ya uji na uzile kidg tu
Bac ikichemka na kupwaga na kuivaa vzur epua ayo ndio maji ya urojo
π
Mishkaki milaini ya nyama ya ng'ombe
Mishkaki milain ya nyama ya ng'ombe
Mahitaji
Nyama safi iisio mifupa
Thoum
Tangawizi
Chumv
Mafuta
Bizari /uzile mwembamba
Stick za mishkaki
Jinsi ya kutengeza:
Kwanza safisha nyama yako na uikate peace ndogo ndogo,
Then weka spice zote kwenye nyama na uiache kwa masaa yasiooungua 6 ata ikilala kwnye friji ni nzuri zaid
Bada ya masaa 6 weka kwnye vijiti na uchome,ikianza kuiva upande mmoja geuza wa 2 ule wa 1 utie mafta
Km kawaida
NB:
Kuiroeka mishkaki na spices masaa mengi ndio inakua laini zaid na zaid
Jumatatu, 20 Juni 2016
Viaz karai
Viazi karai
Hiki ni cha kula kinachopendwa sna kenya,wanakitumia kama kifungua kinywa kwa siku za ramadhan...viazi karai vya wenzetu wanapika hivi
Mahitaji
Viazi mviringo(mbatata)
Masala
Mafuta yabkuchomea
Unga wa ngano
Maji
Na chumvi
Jins ya kuandaa
Chemsha viazi visivurugike vikianza iva kata vipande km kwnye picha kat ueke masala ubananishe na kiaz kingine
Then changanya unga na maji na chumv ukipenda weka bizari
Then teleka mafuta jikon yakipata moto chkua kiaz utie kwnye unga na kuchoma
Jitahid unga uciwe mwepec snaa ukanyumburuzisha
Tam iyo kw kula na ukwaju π
Malai
MALAI YA MAZIWA
Mahitaji:
Maziwa ya maji glas 2 na nusu
Maziwa ya sona glas nusu
Maziwa ya unga robo glas
Sukar rob glasi
Vanilla kijiko k1
Custerd vijiko v2 vdogo vya chai
Rangi
Maandalizi
Weka vtu vyote kwnye sufuria na uteleke jikoni fanya kuchemsha vtu hvo hku ukiwa unakoroga vichanganyike vizuri
Vikianza kuwa nzto kidg epua weka kwnye vikopp vyako gandisha
Ukihitaji rangi tofaut unaweza kuseparet mchanganyiko wko nusu ukaweka colour nusu nutella
NB:
Kama huna iv vikop vya design bc weka at kwnye vikombe vya kahawa π
π
Bajia za dengu n chatine
Mahitaji
Unga wa dengu robo
Unga wa ngano robo kikombe
Chimv
Maji
Pilipli hoho
Kitunguu maji
Thoum chembe 4
Kotmiri ukipenda
Karoti
Nazi
Ndimu au limao
Pilipli ya kuwasha
Hamira
Jins ya kuandaa bajia
Kata spices zote na uzigawanye mara mbili.kundi A na B
Weka unga zotw kwnye bakuli safi,hamira,maji,chumv na spice kundi A na thoum chembe 2 zlizotwanga
Uchanganye vzur km unaupija pija then uache uumuke.ukishaumuka
Teleka/bandika mafuta jikon yakipata motoa chomo badia zako....
NB
Km hazijaja shep nzur unga wako ni mwepec sana na km zkikataa kuiva kat unga wko ni mzto so next time ujitahid....
Mandaliz ya chatine.
Weka kwnye blender nazi(chicha zilizokua hazjatumia ata mara 1)na spice zote za kundi B na plipli na nidmu...weka maj kidg snaa
Saga kwnye blender ikwia lain weka kwnye friji
Jumamosi, 18 Juni 2016
Vileja vya tende
Saga sukar na siagi(blieband) hadi iwe lain weka mayai 2 au 3 inatgema na vipmo vyko kisha pigaa pamoja ichanganyike vzuri...changanya unga na baking powder kidg snaa pemben alaf utie kwnye mchanganyiko wko,changanya polepole ichanganyike size ya vileja
Wacha kwanza nenda hatua nyngne
Songa tende....
Jinsi ya kusonga tende:
Chambua tende yako na utoe kokwa zote kisha uiweke kwnye sufuria tupu lisilo na kitu ikianza kushika moto weka samli ya aseel usonge taratabu had ishikae unaweza kunyunyizia ufuta ukipenda
Then rud kwnye unga wko wa vileja na usukume mfan wa chaapati kishaweka tende upande mmoja km colum kisha upinde ukate na uendelee na unga uliobaki had umalize ukimaliza utaona row zko zle mabzo kat zna tende kataka pieces km ilivo kwnye picha,kichw atumia uma kuchorea iy deagn ya juu
Simple and yummy...
Kwa maelezo zaid kama hujaelewa ukunjaji comment chini
Sandwch za mbatata na dengu
Sandwhc za mbatata na dengu
Maelekezo
Kata slec zako km za snadwhch
Chemsha mabatata na uziunge km za katlec....ueke thoum,plipl,ndim,kitunguu,kerot na pipli hoho
Then chkua slec yko moja ukiokata kipande km sandwhch weka mbatata zko kati na ubane na nyngne km inavyoonesha kwnye picha
The changanya unga wa dengu na spice(kitunguu maji,kerot,hoho na cbumvi)
Korogea na maji uwe mwepec kma wa chapati za maji
Chku slec zko mbili ulizobanananisha na mbatata weka kwnye unga choma kw mafta ya moto
π
Mikate ya khubsr yasr
hii ni aina ya mkate ambayo inapikwa nchi za kiarabu kma vile oman,dubai,aqtar,abuudhabi na kwengineko.
Mkate huu hupikwa kw nyama ya kusaga mayai na badhi ya vifaa vingne
Na hupikwa kw pan maalum cio kila pan inaweza kupika.
Mtaniwia radhi staweza kutoa maelezo kwa kina jins ya upishi huu kutokana na kila nitakachokizungumza kitakua ni kigeni kwa mana ya kwamba vifaa vyake au mahitaji yake yanapatikan nchi husika tu.
Shukrn
Jumanne, 14 Juni 2016
Mkate wa tambi wa njia nyepeci
Jumapili, 12 Juni 2016
Jelebi
Singo ya bwana
Vifaa:
Sabuni ya singo(kisahani)
Karafuu ya donge
Maward na asumin kavu
Liwa la kusaga (la unga)
Manjano kwa mtu mweupe tu
Mafuta ya nazi au olive oil
Matayarisho:
Roeka donge la karafuu kwenye bakuli la kaure(udongo) na maji ya uvuguuvugu kwa muda angalau nusu sa
Kisha changanyamawardi na asumin kavu,manjano na liwa,iwe unga usiweke maji
Kisha weka maji kidg kwnye sabuni ya singo ya bwana
Matumiz ni kama kawaida cha muhimu ni
Mwanzo karafuu,
Pili sabuni
Tatu maward
Mwisho mafuta
Shukrani...kwa wengine wanaohitaji maelezo ya kitu usisite kucomment
Oud wa mirah
Jumamosi, 11 Juni 2016
Ijumaa, 10 Juni 2016
Alhamisi, 9 Juni 2016
Mango dessert
Mango dessert
Ni nzuri sana kwa kutumia baada ya kushiba futar ktk mwez huu wa Ramadhaan
Mapishi yke km dessert zngne ila hii inakua ya mango tu
π π π yummy
Jumatano, 8 Juni 2016
Jumatatu, 6 Juni 2016
Ijumaa, 3 Juni 2016
Vitumbua vya nyama
Mahitaji:
Nyama ya kusaga
Mayai
Karoti
Pilipili hoho
Thoum
Kitunguu maji
Chumvi
Mafuta ya kupikia
Chumvi kiasi
Hamira
Baking powder
Tangawizi
Uzile (bizari nyembamba)
Jinsi ya kuandaa
Weka tangawizi iliyosagwa,thoum,uzile (binzari nyembamba) kisha chemsha nyama yako
Ikiwa epua..
Katakata kitunguu maji,hoho,thoum chembe mbili tu,karot
Weka kwenye blender na mayai saga mapande pande visiwe laini sana
Changanya nyama na chumvi, hamira, baking,powder, na mchanganyiko uliosaga kwenye blender wacha uumuke kidgo
Choma kama vitumbua vya kawaida
Chilla
Chila laini
Mahitaji:
Mchele
Hiliki
Tui zito
Yai moja
Sukari
Hamira
Jinsi ya kupika
Roweka mchele usiku kucha au ata masaa 6 yanatosha
Mwaga maji mchele ulioroweka,weka kwnye blender pamoja na hiliki,yai na tui....saga pamoja hadi viwe saizi
Mimina kwenye bakuli safi,weka hamira na. Ikiumuka weka sukari iache dakika 5.
Kisha choma kawaida...
Zingatia:
Unaweza kusaga mahitaji yote pamoja haina tatizo ila sukar inavimbisha so itavimbisha mapema kabla ya hamira kuumua chila
Hivo ni vzur kuweka sukar bada ya kuumukaa.
Alhamisi, 2 Juni 2016
Jumatano, 1 Juni 2016
Kashata za karanga/njugu
Njugu/karanga
Sukari
Arki
Hiliki
Tangawizi kama unapenda
Jinsi ya kuandaa...
Choma njugu kwenye oven ziwive,kisha saga njugu/karanga upendavyo(kama unapenda mapande pande au laini)bila ya kutoa magamba
Bandika sufuria jikoni,weka sukari iache iungue hadi iwe browns weka hiliki iliosagwa,arki kidg na tangawiz iliosagwa kisogo sna km unapenda
Kisha mimina k
arnga zako ulizosaga na uanze kuchanganya hadi ichanganyike songa hadi ishikane kiasi
Paka mafuta kwnye kibao au sahani,mimina kashata zako ziweke sawa kwa mwiko na maji
(yaani mwiko uchovye maji na ueke sawa kashata hadi ienee km mfano wa chapat ila icwe nyembamba,kata kata desgn upendayo kbla...weka kwenye sahani tayr kulia
Yummy