Vitumbua vya nyama
Mahitaji:
Nyama ya kusaga
Mayai
Karoti
Pilipili hoho
Thoum
Kitunguu maji
Chumvi
Mafuta ya kupikia
Chumvi kiasi
Hamira
Baking powder
Tangawizi
Uzile (bizari nyembamba)
Jinsi ya kuandaa
Weka tangawizi iliyosagwa,thoum,uzile (binzari nyembamba) kisha chemsha nyama yako
Ikiwa epua..
Katakata kitunguu maji,hoho,thoum chembe mbili tu,karot
Weka kwenye blender na mayai saga mapande pande visiwe laini sana
Changanya nyama na chumvi, hamira, baking,powder, na mchanganyiko uliosaga kwenye blender wacha uumuke kidgo
Choma kama vitumbua vya kawaida
i like it
JibuFutanataka kujaribu hii mamii ila apo kwenye nyama cjaelewa.apo una posaga spice nyama hausag au?
JibuFutaVITUMBUA VYA NYAMA YA KUku vinapikwaje
JibuFutaVitumbua vya nyama ya kuku habibty vinapikwa kama ivo...ila ntama ya kuku unatakiwankuitoa mifupa nabkuisaga kidg iwe laini na hakikisha ngozi hauingizi kwenye nyamaa yako
FutaHapana tamim khamis
FutaNtama hauisag na spice
...unapika nyma mbali nankusaga spice mbali alaf ndio unachanganya spice na nyama kw kukurogaa
Hapana tamim khamis
FutaNtama hauisag na spice
...unapika nyma mbali nankusaga spice mbali alaf ndio unachanganya spice na nyama kw kukurogaa
Vitumbua vya nyama ya kuku habibty vinapikwa kama ivo...ila ntama ya kuku unatakiwankuitoa mifupa nabkuisaga kidg iwe laini na hakikisha ngozi hauingizi kwenye nyamaa yako
Futa