Ijumaa, 3 Juni 2016

Chilla


Chila laini
Mahitaji:
Mchele
Hiliki
Tui zito
Yai moja
Sukari
Hamira


Jinsi ya kupika

Roweka mchele usiku kucha au ata masaa 6 yanatosha

Mwaga maji mchele ulioroweka,weka kwnye blender pamoja na hiliki,yai na tui....saga pamoja hadi viwe saizi

Mimina kwenye bakuli safi,weka hamira na. Ikiumuka weka sukari iache dakika 5.

Kisha choma kawaida...

Zingatia:
Unaweza kusaga mahitaji yote pamoja haina tatizo ila sukar inavimbisha so itavimbisha mapema kabla ya hamira kuumua chila
Hivo ni vzur kuweka sukar bada ya kuumukaa.

Maoni 6 :

  1. jamani hadi rahaa..nimeienda blog yako

    JibuFuta
  2. una kila sifa ya kuunda blogi ya maishi mashalla unaweza my

    JibuFuta
  3. ramadhaani hii nakujaaa uifundishe

    JibuFuta
  4. Santeee sana tamim khamis

    Karibu tu shemsa abdulla

    JibuFuta
  5. Santeee sana tamim khamis

    Karibu tu shemsa abdulla

    JibuFuta